1 Kings 18:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, Elia akawaambia, “Mimi tu ndiye peke yangu nabii wa Mwenyezi-Mungu niliyebaki, lakini manabii wa Baali wapo 450.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Ilya akawaambia, “Ni mimi peke yangu nabii wa Mwenyezi Mungu aliyebaki, lakini Baali ana manabii mia nne na hamsini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa Bwana; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, Elia akawaambia, “Mimi tu ndiye peke yangu nabii wa Mwenyezi-Mungu niliyebaki, lakini manabii wa Baali wapo 450.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Eliya akawaambia, “Ni mimi peke yangu nabii wa BWANA aliyebaki, lakini Baali ana manabii mia nne na hamsini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Ilya akawaambia, “Ni mimi peke yangu nabii wa bwana aliyebaki, lakini Baali ana manabii mia nne na hamsini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa BWANA; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, Elia akawaambia, “Mimi tu ndiye peke yangu nabii wa Mwenyezi-Mungu niliyebaki, lakini manabii wa Baali wapo 450.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Elia alipowaambia wale watu: Mimi nimesalia peke yangu kuwa mfumbuaji wa Bwana, lakini wafumbuaji wa Baali ni watu 450.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa BWANA; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, Elia akawaambia: “Mimi peke yangu tu ndiye nabii wa Yawe niliyebaki, lakini manabii wa Bali wapo mia ine na makumi tano.