1 Kings 18:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaendelea kupiga makelele na kufanya kama wendawazimu hadi alasiri wakati wa kutoa tambiko; lakini hakuna aliyewajibu wala kuwajali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adhuhuri ikapita, nao wakaendelea na utabiri wao wa kiwazimu hadi wakati wa dhabihu ya jioni. Lakini hapakuwa na itikio, hakuna aliyejibu, na hakuna aliyezingatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, wakati wa adhuhuri ulipopita, walitabiri hata wakati wa kutoa dhabihu ya jioni; lakini hapakuwa na sauti, wala aliyejibu, wala aliyeangalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaendelea kupiga makelele na kufanya kama wendawazimu hadi alasiri wakati wa kutoa tambiko; lakini hakuna aliyewajibu wala kuwajali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adhuhuri ikapita, nao wakaendelea na utabiri wao wa kiwazimu mpaka wakati wa dhabihu ya jioni. Lakini hapakuwa na jibu, hakuna aliyejibu, hakuna aliyeangalia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adhuhuri ikapita, nao wakaendelea na utabiri wao wa kiwazimu mpaka wakati wa dhabihu ya jioni. Lakini hapakuwa na jibu, hakuna aliyejibu, hakuna aliyeangalia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, wakati wa adhuhuri ulipopita, walitabiri hata wakati wa kutoa dhabihu ya jioni; lakini hapakuwa na sauti, wala aliyejibu, wala aliyeangalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaendelea kupiga makelele na kufanya kama wendawazimu hadi alasiri wakati wa kutoa tambiko; lakini hakuna aliyewajibu wala kuwajali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Saa sita zilipopita, wakawa kama wenye wazimu hata hapo, vilaji vya tambiko vinapotolewa, lakini hakuna sauti, wala hakuna aitikiaye, wala hakuna asikiaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, wakati wa adhuhuri ulipopita, walitabiri hata wakati wa kutoa dhabihu ya jioni; lakini hapakuwa na sauti, wala aliyejibu, wala aliyeangalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaendelea kupiga makelele na kufanya kama vile wenda-wazimu mpaka nyuma ya saa sita wakati wa kutoa sadaka. Lakini hakuna aliyewajibu wala kuwajali.