1 Kings 18:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Ahabu akamwita Obadia msimamizi wa ikulu. (Obadia alikuwa mtu amchaye Mwenyezi-Mungu sana,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Ahabu alikuwa amemwita Obadia aliyekuwa msimamizi wa jumba la mfalme. (Obadia alimcha Mwenyezi Mungu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ahabu akamwita Obadia, aliyekuwa juu ya nyumba yake; (na huyu Obadia alikuwa mwenye kumcha Bwana sana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Ahabu akamwita Obadia msimamizi wa ikulu. (Obadia alikuwa mtu amchaye Mwenyezi-Mungu sana,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Ahabu alikuwa amemwita Obadia ambaye alikuwa msimamizi wa jumba lake la kifalme. (Obadia alimcha BWANA sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Ahabu alikuwa amemwita Obadia ambaye alikuwa msimamizi wa jumba lake la kifalme. (Obadia alimcha bwana sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ahabu akamwita Obadia, aliyekuwa juu ya nyumba yake; (na huyu Obadia alikuwa mwenye kumcha BWANA sana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Ahabu akamwita Obadia msimamizi wa ikulu. (Obadia alikuwa mtu amchaye Mwenyezi-Mungu sana,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahabu akamwita Obadia, mtumishi wake wa nyumbani, naye Obadia alikuwa mtu aliyemwogopa Bwana kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ahabu akamwita Obadia, aliyekuwa juu ya nyumba yake; (na huyu Obadia alikuwa mwenye kumcha BWANA sana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Ahabu akamwita Obadia musimamizi wa nyumba ya kifalme. Obadia alikuwa mutu anayemwogopa Yawe sana,