1 Kings 18:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Elia akawaambia watu, “Sogeeni karibu nami.” Wao wakamkaribia. Kisha Elia akaijenga upya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa imebomolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Ilya akawaambia watu wote, “Sogeeni karibu nami.” Wakamkaribia, naye akaikarabati madhabahu ya Mwenyezi Mungu, iliyokuwa imeharibiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Eliya akawaambia watu wote, Nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza madhabahu ya Bwana iliyovunjika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Elia akawaambia watu, “Sogeeni karibu nami.” Wao wakamkaribia. Kisha Elia akaijenga upya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa imebomolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Eliya akawaambia watu wote, “Sogeeni karibu nami.” Watu wote wakamkaribia, naye akakarabati madhabahu ya BWANA, ambayo ilikuwa imevunjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Ilya akawaambia watu wote, “Sogeeni karibu nami.” Watu wote wakamkaribia, naye akakarabati madhabahu ya bwana, ambayo ilikuwa imevunjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Eliya akawaambia watu wote, Nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza madhabahu ya BWANA iliyovunjika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Elia akawaambia watu, “Sogeeni karibu nami.” Wao wakamkaribia. Kisha Elia akaijenga upya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa imebomolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Elia alipowaambia watu wote: Njoni kwangu! Watu wote walipofika kwake, akapajenga tena hapo pa kumtambikia Bwana palipokuwa pamebomolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Eliya akawaambia watu wote, Nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza madhabahu ya BWANA iliyovunjika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Elia akawaambia watu: “Musogee karibu nami.” Wao wakamukaribia. Kisha Elia akaijenga upya mazabahu ya Yawe iliyokuwa imebomolewa.