1 Kings 18:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitwaa mawe kumi na mawili, hesabu ya makabila kumi na mawili yaliyopewa majina ya wana wa Yakobo ambaye Mwenyezi-Mungu alimwambia “Jina lako litakuwa Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilya akachukua mawe kumi na mbili, moja kwa ajili ya kila kabila la wana wa Yakobo, ambaye neno la Mwenyezi Mungu lilimjia, kusema, “Jina lako litakuwa Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Eliya akatwaa mawe kumi na mawili, kwa hesabu ya kabila za wana wa Yakobo, aliyejiliwa na neno la Bwana na kuambiwa, Jina lako litakuwa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitwaa mawe kumi na mawili, hesabu ya makabila kumi na mawili yaliyopewa majina ya wana wa Yakobo ambaye Mwenyezi-Mungu alimwambia “Jina lako litakuwa Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliya akachukua mawe kumi na mawili, moja kwa ajili ya kila kabila la wana wa Yakobo, ambaye neno la BWANA lilimjia, likisema, “Jina lako litakuwa Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilya akachukua mawe kumi na mawili, moja kwa ajili ya kila kabila la wana wa Yakobo, ambaye neno la bwana lilimjia, likisema, “Jina lako litakuwa Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Eliya akatwaa mawe kumi na mawili, kwa hesabu ya makabila ya wana wa Yakobo, aliyejiliwa na neno la BWANA na kuambiwa, Jina lako litakuwa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitwaa mawe kumi na mawili, hesabu ya makabila kumi na mawili yaliyopewa majina ya wana wa Yakobo ambaye Mwenyezi-Mungu alimwambia “Jina lako litakuwa Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elia akachukua mawe 12 kwa hesabu ya mashina ya wana wa Yakobo, ambaye neno la Bwana lilimjia la kwamba: Jina lako litakuwa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Eliya akatwaa mawe kumi na mawili, kwa hesabu ya kabila za wana wa Yakobo, aliyejiliwa na neno la BWANA na kuambiwa, Jina lako litakuwa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitwaa mawe kumi na mawili, hesabu ya makabila kumi na mawili yaliyopewa majina ya wana wa Yakobo ambaye neno la Yawe lilimufikia kusema hivi: “Jina lako litakuwa Israeli.”