1 Kings 18:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akawaambia, “Rudieni tena.” Nao wakafanya hivyo mara ya pili. Naye akawaambia, “Fanyeni hivyo tena mara ya tatu.” Nao wakafanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Fanyeni hivyo tena.” Nao wakafanya hivyo tena. Akaagiza, “Fanyeni kwa mara ya tatu.” Nao wakafanya hivyo kwa mara ya tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Fanyeni mara ya pili. Wakafanya mara ya pili. Akasema, Fanyeni mara ya tatu. Wakafanya mara ya tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akawaambia, “Rudieni tena.” Nao wakafanya hivyo mara ya pili. Naye akawaambia, “Fanyeni hivyo tena mara ya tatu.” Nao wakafanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Fanyeni hivyo tena.” Nao wakafanya hivyo tena. Akaagiza, “Fanyeni kwa mara ya tatu.” Nao wakafanya hivyo kwa mara ya tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Fanyeni hivyo tena.” Nao wakafanya hivyo tena. Akaagiza, “Fanyeni kwa mara ya tatu.” Nao wakafanya hivyo kwa mara ya tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Fanyeni mara ya pili. Wakafanya mara ya pili. Akasema, Fanyeni mara ya tatu. Wakafanya mara ya tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akawaambia, “Rudieni tena.” Nao wakafanya hivyo mara ya pili. Naye akawaambia, “Fanyeni hivyo tena mara ya tatu.” Nao wakafanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Jazeni mitungi minne maji, myamwage juu ya ng'ombe ya tambiko na juu ya kuni! Kisha akasema: Ongezeni mara ya pili! Wakaongeza mara ya pili! akasema tena: Mara ya tatu! Wakaongeza mara ya tatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Fanyeni mara ya pili. Wakafanya mara ya pili. Akasema, Fanyeni mara ya tatu. Wakafanya mara ya tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawaambia: “Mufanye hivyo tena.” Nao wakafanya hivyo kwa mara ya pili. Naye akawaambia: “Mufanye hivyo tena kwa mara ya tatu.” Nao wakafanya hivyo.