1 Kings 18:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji yakatiririka chini pande zote za madhabahu, hata yakajaa mtaroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji yakatiririka kuizunguka madhabahu na hata kujaza lile handaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yale maji yakaizunguka madhabahu; akaujaza mfereji maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji yakatiririka chini pande zote za madhabahu, hata yakajaa mtaroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji yakatiririka kuizunguka madhabahu na hata kujaza lile handaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji yakatiririka kuizunguka madhabahu na hata kujaza lile handaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yale maji yakaizunguka madhabahu; akaujaza mfereji maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji yakatiririka chini pande zote za madhabahu, hata yakajaa mtaroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji yakaenea po pote hapo penye kutambikia, hata mfereji ukajaa maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yale maji yakaizunguka madhabahu; akaujaza mfereji maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji yakatiririka chini pande zote za mazabahu, hata yakajaa ndani ya mufereji.