1 Kings 18:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu; unijibu ili watu hawa wajue kuwa wewe Mwenyezi-Mungu ndiwe Mungu, na kwamba umeigeuza mioyo yao wakurudie.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unijibu, Ee Mwenyezi Mungu! Unijibu ili watu hawa wajue kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ndiwe Mungu, na kwamba unaigeuza mioyo yao ikurudie tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unisikie, Ee Bwana, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, Bwana, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu; unijibu ili watu hawa wajue kuwa wewe Mwenyezi-Mungu ndiwe Mungu, na kwamba umeigeuza mioyo yao wakurudie.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unijibu mimi, Ee BWANA, nijibu mimi, ili watu hawa wajue kwamba wewe, Ee BWANA, ndiwe Mungu, na kwamba unaigeuza mioyo yao ikurudie tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unijibu mimi, Ee bwana, nijibu mimi, ili watu hawa wajue kwamba wewe, Ee bwana, ndiwe Mungu, na kwamba unaigeuza mioyo yao ikurudie tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unisikie, Ee BWANA, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, BWANA, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu; unijibu ili watu hawa wajue kuwa wewe Mwenyezi-Mungu ndiwe Mungu, na kwamba umeigeuza mioyo yao wakurudie.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niitikie, Bwana! Niitikie! Ndivyo, watu hawa watakavyojua, ya kuwa wewe Bwana ndiwe Mungu, ya kuwa wewe ndiwe anayeigeuza mioyo yao, wakufuate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unisikie, Ee BWANA, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, BWANA, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unijibu, ee Yawe, unijibu kusudi watu hawa wajue kwamba wewe Yawe ndiwe Mungu, na kwamba umeigeuza mioyo yao wakurudilie.”