1 Kings 18:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walipoona hivyo, walianguka kifudifudi na kusema, “Mwenyezi-Mungu, ni Mungu; Mwenyezi-Mungu, ni Mungu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote walipoona hili, wakaanguka kifudifudi na kulia, “Mwenyezi Mungu: yeye ndiye Mungu! Mwenyezi Mungu: yeye ndiye Mungu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote walipoona, wakaanguka kifudifudi; wakasema, Bwana ndiye Mungu, Bwana ndiye Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walipoona hivyo, walianguka kifudifudi na kusema, “Mwenyezi-Mungu, ni Mungu; Mwenyezi-Mungu, ni Mungu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati watu wote walipoona hili, wakaanguka kifudifudi na kulia, “BWANA: yeye ndiye Mungu! BWANA: yeye ndiye Mungu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati watu wote walipoona hili, wakaanguka kifudifudi na kulia, “ bwana: yeye ndiye Mungu! bwana: yeye ndiye Mungu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote walipoona, wakaanguka kifudifudi; wakasema, BWANA ndiye Mungu, BWANA ndiye Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walipoona hivyo, walianguka kifudifudi na kusema, “Mwenyezi-Mungu, ni Mungu; Mwenyezi-Mungu, ni Mungu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote walipoyaona wakaanguka nyusoni pao wakisema: Bwana ndiye Mungu! Bwana ndiye Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote walipoona, wakaanguka kifudifudi; wakasema, BWANA ndiye Mungu, BWANA ndiye Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu walipoona hivyo, walianguka uso mpaka chini na kusema: “Yawe ndiye Mungu! Yawe ndiye Mungu!”