1 Kings 18:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya hayo, Elia akamwambia mfalme Ahabu, “Nenda ukale na kunywa. Nasikia kishindo cha mvua.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilya akamwambia Ahabu, “Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Eliya akamwambia Ahabu, Haya! Inuka, ule, unywe; kwani pana sauti ya mvua tele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya hayo, Elia akamwambia mfalme Ahabu, “Nenda ukale na kunywa. Nasikia kishindo cha mvua.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliya akamwambia Ahabu, “Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilya akamwambia Ahabu, “Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Eliya akamwambia Ahabu, Haya! Inuka, ule, unywe; kwani pana sauti ya mvua tele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya hayo, Elia akamwambia mfalme Ahabu, “Nenda ukale na kunywa. Nasikia kishindo cha mvua.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elia akamwambia Ahabu: Nenda, ule, unywe! Kwani nasikia uvumi wa mvua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Eliya akamwambia Ahabu, Haya! Inuka, ule, unywe; kwani pana sauti ya mvua tele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo, Elia akamwambia mufalme Ahabu: “Kwenda kula na kunywa. Ninasikia kishindo cha mvua.”