1 Kings 18:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akamwambia mtumishi wake, “Sasa, nenda utazame upande wa baharini.” Mtumishi akaenda, akatazama, kisha akarudi akasema, “Hamna kitu.” Elia akamwambia, “Nenda tena mara saba.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia mtumishi wake, “Nenda ukatazame kuelekea bahari.” Akaenda na kutazama. Akasema, “Hakuna kitu chochote huko.” Mara saba Ilya akasema, “Nenda tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu. Naye akanena, Enenda tena mara saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akamwambia mtumishi wake, “Sasa, nenda utazame upande wa baharini.” Mtumishi akaenda, akatazama, kisha akarudi akasema, “Hamna kitu.” Elia akamwambia, “Nenda tena mara saba.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia mtumishi wake, “Nenda ukatazame kuelekea bahari.” Akaenda na kutazama. Akasema, “Hakuna kitu cho chote huko.” Mara saba Eliya akasema, “Nenda tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia mtumishi wake, “Nenda ukatazame kuelekea bahari.” Akaenda na kutazama. Akasema, “Hakuna kitu chochote huko.” Mara saba Ilya akasema, “Nenda tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu. Naye akanena, Nenda tena mara saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akamwambia mtumishi wake, “Sasa, nenda utazame upande wa baharini.” Mtumishi akaenda, akatazama, kisha akarudi akasema, “Hamna kitu.” Elia akamwambia, “Nenda tena mara saba.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia kijana, aliyekuwa naye: Panda, uchungulie upande wa baharini! Akapanda, akapachungulia, akasema: Hakuna ninachokiona, akamwambia: Rudi mara saba!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu. Naye akanena, Enenda tena mara saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akamwambia mutumishi wake: “Sasa, kwenda uangalie kwa upande wa bahari.” Mutumishi akaenda, akaangalia, kisha akarudia akasema: “Hakuna kitu.” Elia akamwambia: “Kwenda tena mara saba.”