1 Kings 18:45 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muda haukupita mrefu mbingu zikatanda mawingu mazito, upepo ukavuma, pakanyesha mvua kubwa. Ahabu naye akapanda gari lake la kukokotwa, akarudi Yezreeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule ule anga likawa jeusi kwa mawingu, upepo ukainuka na mvua kubwa ikanyesha, naye Ahabu akaenda zake Yezreeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, muda si muda, mbingu zikawa nyeusi kwa mawingu na upepo, ikanyesha mvua nyingi. Ahabu akapanda garini, akaenda zake Yezreeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muda haukupita mrefu mbingu zikatanda mawingu mazito, upepo ukavuma, pakanyesha mvua kubwa. Ahabu naye akapanda gari lake la kukokotwa, akarudi Yezreeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule ule anga likawa jeusi kwa mawingu, upepo ukainuka na mvua kubwa ikanyesha, naye Ahabu akaenda zake Yezreeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule ule anga likawa jeusi kwa mawingu, upepo ukainuka na mvua kubwa ikanyesha, naye Ahabu akaenda zake Yezreeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, muda si muda, mbingu zikawa nyeusi kwa mawingu na upepo, ikanyesha mvua nyingi. Ahabu akapanda garini, akaenda zake Yezreeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muda haukupita mrefu mbingu zikatanda mawingu mazito, upepo ukavuma, pakanyesha mvua kubwa. Ahabu naye akapanda gari lake la kukokotwa, akarudi Yezreeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Punde si punde, mara mbingu ikawa nyeusi kwa mawingu na upepo, ikanyesha mvua kubwa. Ahabu akapanda garini, akaja Izireeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, muda si muda, mbingu zikawa nyeusi kwa mawingu na upepo, ikanyesha mvua nyingi. Ahabu akapanda garini, akaenda zake Yezreeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya wakati kidogo mbingu zikatanda mawingu mazito, upepo ukavuma, kukanyesha mvua kubwa. Ahabu naye akapanda ndani ya gari lake la vita, akarudia Yezereheli.