1 Kings 18:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elia, naye akajifunga na kukaza joho lake, akakimbia na kumtangulia Ahabu kuingia mjini Yezreeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguvu za Mwenyezi Mungu zikamjia Ilya, naye akajikaza viuno, akakimbia mbele ya Ahabu njia yote hadi ingilio la Yezreeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wa Bwana ulikuwa juu ya Eliya; akajikaza viuno, akapiga mbio mbele ya Ahabu mpaka kuiingia Yezreeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elia, naye akajifunga na kukaza joho lake, akakimbia na kumtangulia Ahabu kuingia mjini Yezreeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguvu za BWANA zikamjia Eliya, naye akajikaza viuno, akakimbia mbele ya Ahabu njia yote hadi maingilio ya Yezreeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguvu za bwana zikamjia Ilya, naye akajikaza viuno, akakimbia mbele ya Ahabu njia yote hadi maingilio ya Yezreeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Eliya; akajikaza viuno, akapiga mbio akamtangulia Ahabu kuiingia Yezreeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elia, naye akajifunga na kukaza joho lake, akakimbia na kumtangulia Ahabu kuingia mjini Yezreeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mkono wa Bwana ukamjia Elia, akajifunga viuno vyake, akapiga mbio kwenda mbele ya Ahabu mpaka kufika Izireeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Eliya; akajikaza viuno, akapiga mbio mbele ya Ahabu mpaka kuiingia Yezreeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguvu ya Yawe ikamufikia Elia, naye akajitayarisha kusafiri, akakimbia na kumutangulia Ahabu kuingia ndani ya muji Yezereheli.