1 Kings 18:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilya akamjibu, “Ndiyo, nenda ukamwambie bwana wako, ‘Ilya yuko hapa.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamjibu, Ni mimi. Enenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliya akamjibu, “Ndiyo, nenda ukamwambie bwana wako Ahabu, ‘Eliya yuko hapa.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilya akamjibu, “Ndiyo, nenda ukamwambie bwana wako Ahabu, ‘Ilya yuko hapa.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamjibu, Ni mimi. Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elia akamwambia, “Naam! Ni mimi Elia. Nenda ukamwambie bwana wako kwamba niko hapa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamjibu: Ndimi! Nawe nenda, kamwambie bwana wako: Elia ameoneka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamjibu, Ni mimi. Enenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elia akamwambia: “Ndiyo! Ni mimi Elia. Kwenda umwambie bwana wako kwamba niko hapa.”