1 Kings 18:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Obadia akasema, “Nimekosa nini hata utake kunitia hatarini ili niuawe na mfalme Ahabu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Obadia akamuuliza, “Ni kosa gani nimefanya, hata ukaamua kumkabidhi mtumishi wako mkononi mwa Ahabu ili aniue?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Nimekosa nini, hata unitie mimi mtumishi wako mkononi mwa Ahabu, aniue?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Obadia akasema, “Nimekosa nini hata utake kunitia hatarini ili niuawe na mfalme Ahabu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Obadia akamwuliza, “Ni kosa gani nimefanya, hata ukaamua kumkabidhi mtumishi wako mkononi mwa Ahabu ili aniue?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Obadia akamuuliza, “Ni kosa gani nimefanya, hata ukaamua kumkabidhi mtumishi wako mkononi mwa Ahabu ili aniue?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Nimekosa nini, hata unitie mimi mtumishi wako mkononi mwa Ahabu, aniue?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Obadia akasema, “Nimekosa nini hata utake kunitia hatarini ili niuawe na mfalme Ahabu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajibu: Nimekosa nini, wewe ukimtia mtumishi wako mkononi mwa Ahabu, aniue?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Nimekosa nini, hata unitie mimi mtumishi wako mkononi mwa Ahabu, aniue?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Obadia akasema: “Nimefanya kosa gani hata utake kunitia katika hatari kusudi niuawe na mufalme Ahabu?