1 Kings 19:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Ahabu alimsimulia mkewe Yezebeli mambo yote aliyofanya Elia na jinsi alivyowaua manabii wa Baali kwa upanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahabu akamwambia Yezebeli kila kitu Ilya alichokuwa amefanya na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Ahabu akamwambia Yezebeli habari ya mambo yote aliyoyafanya Eliya, na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Ahabu alimsimulia mkewe Yezebeli mambo yote aliyofanya Elia na jinsi alivyowaua manabii wa Baali kwa upanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahabu akamwambia Yezebeli kila kitu Eliya alichokuwa amefanya na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahabu akamwambia Yezebeli kila kitu Ilya alichokuwa amefanya na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Ahabu akamwambia Yezebeli habari ya mambo yote aliyoyafanya Eliya, na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Ahabu alimsimulia mkewe Yezebeli mambo yote aliyofanya Elia na jinsi alivyowaua manabii wa Baali kwa upanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahabu akamsimulia Izebeli yote, Elia aliyoyafanya, na jinsi alivyowaua wafumbuaji wote wa Baali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Ahabu akamwambia Yezebeli habari ya mambo yote aliyoyafanya Eliya, na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Ahabu alimwelezea muke wake Yezebeli mambo yote Elia aliyofanya na jinsi alivyowaua manabii wa Bali kwa upanga.