1 Kings 19:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Yehu, mwana wa Nimshi, mpake mafuta awe mfalme wa Israeli. Elisha, mwana wa Shafati, wa Abel-mehola, utampaka mafuta awe nabii mahali pako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia mpake mafuta Yehu, mwana wa Nimshi awe mfalme wa Israeli, na umpake mafuta Al-Yasa mwana wa Shafati kutoka Abel-Mehola awe nabii baada yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yehu mwana wa Nimshi mtie mafuta awe mfalme wa Israeli; na Elisha mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie mafuta awe nabii mahali pako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Yehu, mwana wa Nimshi, mpake mafuta awe mfalme wa Israeli. Elisha, mwana wa Shafati, wa Abel-mehola, utampaka mafuta awe nabii mahali pako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia mtie mafuta Yehu mwana wa Nimshi awe mfalme wa Israeli, na umtie Elisha mwana wa Shafati kutoka Abel-Mehola mafuta awe nabii badala yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia mtie mafuta Yehu mwana wa Nimshi awe mfalme wa Israeli, na umtie Al-Yasa mwana wa Shafati kutoka Abel-Mehola mafuta awe nabii badala yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yehu mwana wa Nimshi mtie mafuta awe mfalme wa Israeli; na Elisha mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie mafuta awe nabii mahali pako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Yehu, mwana wa Nimshi, mpake mafuta awe mfalme wa Israeli. Elisha, mwana wa Shafati, wa Abel-mehola, utampaka mafuta awe nabii mahali pako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yehu, mwana wa Nimusi, umpake mafuta, awe mfalme wa Waisiraeli! Naye Elisa, mwana wa Safati, wa Abeli-Mehola umpake mafuta, awe mfumbuaji mahali pako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yehu mwana wa Nimshi mtie mafuta awe mfalme wa Israeli; na Elisha mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie mafuta awe nabii mahali pako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yehu mwana wa Nimusi, umupakae mafuta akuwe mufalme wa Israeli. Elisha mwana wa Safati wa Abeli-Mehola, utamupakaa mafuta akuwe nabii kwa pahali pako.