1 Kings 19:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, yeyote atakayenusurika upanga wa Hazaeli, Yehu atamuua, na yeyote atakayenusurika upanga wa Yehu, Elisha atamuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Hazaeli, naye Al-Yasa atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Yehu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na itakuwa atakayeokoka na upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua; na atakayeokoka na upanga wa Yehu, Elisha atamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, yeyote atakayenusurika upanga wa Hazaeli, Yehu atamuua, na yeyote atakayenusurika upanga wa Yehu, Elisha atamuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu atamwua ye yote atakayeutoroka upanga wa Hazaeli, naye Elisha atamwua ye yote atakayeutoroka upanga wa Yehu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Hazaeli, naye Al-Yasa atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Yehu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na itakuwa atakayeokoka na upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua; na atakayeokoka na upanga wa Yehu, Elisha atamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, yeyote atakayenusurika upanga wa Hazaeli, Yehu atamuua, na yeyote atakayenusurika upanga wa Yehu, Elisha atamuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, atakayeukimbia upanga wa Hazaeli Yehu atamwua, naye atakayeukimbia upanga wa Yehu Elisa atamwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na itakuwa atakayeokoka na upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua; na atakayeokoka na upanga wa Yehu, Elisha atamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mutu yeyote atakayepona kuuawa kwa upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua, na yeyote atakayepona kuuawa kwa upanga wa Yehu, Elisha atamwua.