1 Kings 19:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, nitaacha hai watu 7,000 nchini Israeli, ambao hawajamwinamia Baali, wala kuibusu sanamu yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata sasa nimeweka akiba ya watu elfu saba katika Israeli, wote ambao hawajampigia Baali magoti, na wote ambao midomo yao haijambusu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hayo nitajisazia katika Israeli watu elfu saba, kila goti lisilomwinamia Baali, na kila kinywa kisichombusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, nitaacha hai watu 7,000 nchini Israeli, ambao hawajamwinamia Baali, wala kuibusu sanamu yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata sasa nimeweka akiba watu 7,000 katika Israeli, wote ambao hawajampigia Baali magoti, nao wote ambao midomo yao haijambusu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata sasa nimeweka akiba watu elfu saba katika Israeli, wote ambao hawajampigia Baali magoti, na wote ambao midomo yao haijambusu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hayo nitajisazia katika Israeli watu elfu saba, kila goti lisilomwinamia Baali, na kila kinywa kisichombusu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, nitaacha hai watu 7,000 nchini Israeli, ambao hawajamwinamia Baali, wala kuibusu sanamu yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitasaza katika Waisiraeli 7000, ndio wote wasiompigia Baali magoti, ndio wote wasiomnonea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hayo nitajisazia katika Israeli watu elfu saba, kila goti lisilomwinamia Baali, na kila kinywa kisichombusu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, nitawaacha wazima watu elfu saba katika inchi ya Israeli, ambao hawajainama mbele ya Bali, wala kuibusu sanamu yake.”