1 Kings 19:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elia akakimbilia mjini Beer-sheba mkoani Yuda, alikomwacha mtumishi wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilya aliogopa, na akatoroka kuokoa maisha yake. Alipofika Beer-Sheba katika Yuda, akamwacha mtumishi wake huko,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elia akakimbilia mjini Beer-sheba mkoani Yuda, alikomwacha mtumishi wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliya aliogopa, na akakimbia kuokoa maisha yake. Alipofika Beer-Sheba katika Yuda, akamwacha mtumishi wake huko,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilya aliogopa, na akakimbia kuokoa maisha yake. Alipofika Beer-Sheba katika Yuda, akamwacha mtumishi wake huko,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elia akakimbilia mjini Beer-sheba mkoani Yuda, alikomwacha mtumishi wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, aliposhikwa na woga, akaondoka, akaenda zake. Alipofika Beri-Seba ulioko katika nchi ya Yuda akamwacha huko kijana, aliyekuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elia akakimbilia katika muji wa Beri-Seba katika jimbo la Yuda, kule alikomwacha mutumishi wake,