1 Kings 19:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamjia tena mara ya pili, akamgusa na kumwambia, “Amka ule, la sivyo safari itakuwa ngumu mno kwako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule malaika wa Mwenyezi Mungu akaja tena mara ya pili, akamgusa na kumwambia, “Inuka ule, kwa kuwa bado una safari ndefu mbele yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika wa Bwana akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamjia tena mara ya pili, akamgusa na kumwambia, “Amka ule, la sivyo safari itakuwa ngumu mno kwako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule malaika wa BWANA akaja tena mara ya pili, akamgusa akamwambia, “Inuka na ule, kwa kuwa safari ni ndefu kwako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule malaika wa bwana akaja tena mara ya pili, akamgusa akamwambia, “Inuka na ule, kwa kuwa safari ni ndefu kwako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamjia tena mara ya pili, akamgusa na kumwambia, “Amka ule, la sivyo safari itakuwa ngumu mno kwako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, malaika wa Bwana aliporudi mara ya pili, akamgusa na kumwambia: Inuka, ule! Kwani njia, utakayokwenda, ni ndefu ya kuzishinda nguvu zako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa Yawe akamufikia tena kwa mara ya pili, akamugusa na kumwambia: “Amuka ukule, kama sivyo safari itakuwa ngumu sana kwako.”