1 Kings 19:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elia akaamka, akala na kunywa. Kisha akatembea kwa nguvu ya chakula hicho mwendo wa siku arubaini, mchana na usiku, mpaka Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo akainuka, akala na kunywa. Akiwa ametiwa nguvu na kile chakula, akasafiri siku arobaini usiku na mchana hadi akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akainuka, akala, akanywa, akaenda katika nguvu za chakula hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elia akaamka, akala na kunywa. Kisha akatembea kwa nguvu ya chakula hicho mwendo wa siku arubaini, mchana na usiku, mpaka Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo akainuka, akala na kunywa. Akiwa ametiwa nguvu na kile chakula, akasafiri siku arobaini mchana na usiku mpaka akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo akainuka, akala na kunywa. Akiwa ametiwa nguvu na kile chakula, akasafiri siku arobaini usiku na mchana mpaka akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akainuka, akala, akanywa, akaenda katika nguvu za chakula hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elia akaamka, akala na kunywa. Kisha akatembea kwa nguvu ya chakula hicho mwendo wa siku arubaini, mchana na usiku, mpaka Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akainuka, akala, akanywa. Kisha akaenda kwa nguvu ya hicho chakula siku 40 mchana na usiku, mpaka akiufikia mlima wa Mungu, jina lake Horebu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akainuka, akala, akanywa, akaenda katika nguvu za chakula hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elia akaamuka, akakula na kunywa. Kisha akatembea kwa nguvu ya chakula hicho mwendo wa siku makumi ine, muchana na usiku, mpaka Horebu kwenye mulima wa Mungu.