1 Kings 19:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko akaingia katika pango, akalala humo usiku ule. Nalo neno la Mwenyezi Mungu likamjia, kusema, “Unafanya nini hapa, Ilya?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la Bwana likamjia, naye akamwambia, Unafanya nini hapa, Eliya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko akaingia katika pango, akalala humo usiku ule. Nalo neno la BWANA likamjia, kusema, “Unafanya nini hapa, Eliya?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko akaingia katika pango, akalala humo usiku ule. Nalo neno la bwana likamjia, kusema, “Unafanya nini hapa, Ilya?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la BWANA likamjia, naye akamwambia, Unafanya nini hapa, Eliya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaingia huko pangoni, akalala mle. Ndipo, neno la Bwana lilipomjia la kumwuliza: Unafanya nini humu, Elia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la BWANA likamjia, naye akamwambia, Unafanya nini hapa, Eliya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule, akafika kwenye pango, akakaa mule. Mara moja Yawe akamutolea ujumbe: “Elia! Unafanya nini hapa?”