1 Kings 2:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipokaribia kufariki, alimwita mwanawe Solomoni, akampa wosia akisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zilipokaribia za Daudi kufa, akampa mwanawe Sulemani agizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi siku ya kufa kwake Daudi ikakaribia, akamwusia Sulemani mwanawe, akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipokaribia kufariki, alimwita mwanawe Solomoni, akampa wosia akisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zilipokaribia za Daudi kufa, akampa mwanawe Solomoni agizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zilipokaribia za Daudi kufa, akampa mwanawe Sulemani agizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi siku ya kufa kwake Daudi ikakaribia, akamwusia Sulemani mwanawe, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipokaribia kufariki, alimwita mwanawe Solomoni, akampa wosia akisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku za kufa kwake Dawidi zilipofika karibu, akamwonya mwanawe Salomo akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi siku ya kufa kwake Daudi ikakaribia, akamwusia Sulemani mwanawe, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alipokaribia kufa, alimwita mwana wake Solomono, akamupa maagizo akisema: