1 Kings 2:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Solomoni akaketi katika kiti cha enzi mahali pa Daudi, baba yake; na ufalme wake ukaimarika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Sulemani akaketi kwenye kiti cha ufalme cha baba yake Daudi, nao utawala wake ukaimarika sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha Daudi baba yake; na ufalme wake ukawa imara sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Solomoni akaketi katika kiti cha enzi mahali pa Daudi, baba yake; na ufalme wake ukaimarika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Solomoni akaketi katika kiti cha ufalme cha baba yake Daudi, nao utawala wake ukaimarika sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Sulemani akaketi katika kiti cha ufalme cha baba yake Daudi, nao utawala wake ukaimarika sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha Daudi baba yake; na ufalme wake ukawa imara sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Solomoni akaketi katika kiti cha enzi mahali pa Daudi, baba yake; na ufalme wake ukaimarika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akakaa katika kiti cha kifalme cha baba yake Dawidi, nao ufalme wake ukapata kushupaa sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha Daudi baba yake; na ufalme wake ukawa imara sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Solomono akaikaa katika kiti cha kifalme kwa pahali pa baba yake Daudi, na ufalme wake ukaimarika.