1 Kings 2:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Unaweza kuliomba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mimi ninaomba kwako ombo moja, nawe usiutweze uso wangu! Akamwambia: Sema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, nina ombi moja tu ambalo ninakusihi usinikatalie.” Batiseba akamwambia: “Sema tu.”