1 Kings 2:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwanangu, kama ilivyo kawaida kwa viumbe vyote kufa, siku zangu zimekwisha. Uwe imara na hodari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Ninakaribia kwenda njia ya dunia yote. Hivyo uwe hodari, jioneshe kuwa mwanaume,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi naenda njia ya ulimwengu wote; basi uwe hodari, ujionyeshe kuwa mwanamume;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwanangu, kama ilivyo kawaida kwa viumbe vyote kufa, siku zangu zimekwisha. Uwe imara na hodari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Mimi ninakaribia kwenda njia ya dunia yote. Hivyo uwe hodari, jionyeshe kuwa mwanaume,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Mimi ninakaribia kwenda njia ya dunia yote. Hivyo uwe hodari, jionyeshe kuwa mwanaume,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi naenda njia ya ulimwengu wote; basi uwe hodari, ujionyeshe kuwa shujaa na hodari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwanangu, kama ilivyo kawaida kwa viumbe vyote kufa, siku zangu zimekwisha. Uwe imara na hodari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi sasa ninakwenda njia inayowapasa wote wa huku nchini; nawe jipe moyo, uwe mtu wa kiume!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi naenda njia ya ulimwengu wote; basi uwe hodari, ujionyeshe kuwa mwanamume;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mwana wangu, kama inavyokuwa kawaida kwa viumbe vyote kufa, siku zangu zimekwisha. Ukuwe imara na hodari.