1 Kings 2:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adonia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Ndugu yako Adonia na apewe Abisagi wa Sunemu, awe mkewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akasema: “Umuruhusu ndugu yako Adonia amwoe Abisagi, yule Musunami.”