1 Kings 2:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mfalme Solomoni akaapa kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Mungu na aniulie mbali ikiwa Adoniya hatakufa kwa sababu ya kutoa ombi hili!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani akaapa kwa Mwenyezi Mungu, akasema: “Mungu na aniadhibu vikali zaidi ikiwa Adoniya hatalipa kwa uhai wake kwa ajili ya ombi hili!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mfalme Sulemani akaapa kwa Bwana, akasema, Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, isipokuwa Adonia amenena neno hili juu ya uhai wake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mfalme Solomoni akaapa kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Mungu na aniulie mbali ikiwa Adoniya hatakufa kwa sababu ya kutoa ombi hili!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni akaapa kwa BWANA, akasema: “Mungu na aniulie mbali, tena bila huruma, ikiwa Adonia hatalipa kwa uhai wake kwa ajili ya ombi hili!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani akaapa kwa bwana, akasema: “Mungu na aniulie mbali, tena bila huruma, ikiwa Adoniya hatalipa kwa uhai wake kwa ajili ya ombi hili!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mfalme Sulemani akaapa kwa BWANA, akasema, Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, isipokuwa Adonia amenena neno hili juu ya uhai wake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mfalme Solomoni akaapa kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Mungu na aniulie mbali ikiwa Adoniya hatakufa kwa sababu ya kutoa ombi hili!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme Salomo akaapa na kumtaja Bwana akisema: Mungu na anifanyie hivi na hivi, tena aendelee hivyo, neno hilo, Adonia alilolisema, lisipokuwa la kuiangamiza roho yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mfalme Sulemani akaapa kwa BWANA, akasema, Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, isipokuwa Adonia amenena neno hili juu ya uhai wake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo mufalme Solomono akaapa kwa jina la Yawe, akisema: “Mungu aniue ikiwa Adonia hatakufa kwa sababu ya kutoa ombi hili!