1 Kings 2:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni aliposikia kwamba Yoabu yumo katika hema la Mungu na kwamba amesimama madhabahuni, alimtuma Benaya mwana wa Yehoyada, akisema, “Nenda ukampige.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani akaambiwa kuwa Yoabu amekimbilia kwenye hema la Mwenyezi Mungu naye alikuwa kando ya madhabahu. Basi Sulemani akamwagiza Benaya mwana wa Yehoyada: “Nenda ukamuue!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaambiwa mfalme Sulemani ya kwamba, Yoabu amekimbilia Hemani kwa Bwana, naye, tazama, yuko madhabahuni. Ndipo Sulemani akamtuma Benaya, mwana wa Yehoyada, akisema, Enenda, umpige.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni aliposikia kwamba Yoabu yumo katika hema la Mungu na kwamba amesimama madhabahuni, alimtuma Benaya mwana wa Yehoyada, akisema, “Nenda ukampige.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni akaambiwa kuwa Yoabu amekimbilia kwenye hema la BWANA naye alikuwa kando ya madhabahu. Basi Solomoni akamwagiza Benaya mwana wa Yehoyada: “Nenda ukamwue!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani akaambiwa kuwa Yoabu amekimbilia kwenye hema la bwana naye alikuwa kando ya madhabahu. Basi Sulemani akamwagiza Benaya mwana wa Yehoyada: “Nenda ukamuue!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaambiwa mfalme Sulemani ya kwamba, Yoabu amekimbilia Hemani kwa BWANA, naye, tazama, yuko madhabahuni. Ndipo Sulemani akamtuma Benaya, mwana wa Yehoyada, akisema, Nenda, umuue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni aliposikia kwamba Yoabu yumo katika hema la Mungu na kwamba amesimama madhabahuni, alimtuma Benaya mwana wa Yehoyada, akisema, “Nenda ukampige.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme Salomo akaambiwa: Yoabu amekimbilia Hemani mwa Bwana, yumo humo kandokando ya meza ya Bwana. Ndipo, Salomo alipomtuma Benaya, mwana wa Yoyada, akamwambia: Nenda, umpige!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaambiwa mfalme Sulemani ya kwamba, Yoabu amekimbilia Hemani kwa BWANA, naye, tazama, yuko madhabahuni. Ndipo Sulemani akamtuma Benaya, mwana wa Yehoyada, akisema, Enenda, umpige.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Solomono aliposikia kwamba Yoabu yuko katika hema la Mungu na kwamba amesimama kwenye mazabahu, alimutuma Benaya mwana wa Yehoyada, akisema: “Kwenda umupige.”