1 Kings 2:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni akasema, “Fanya alivyosema; umuue na kumzika. Hivyo, mimi na wazawa wengine wote wa Daudi hatutalaumiwa kwa vitendo vya Yoabu vya kuwaua watu wasio na hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme akamwamuru Benaya, “Fanya kama asemavyo. Muue na kumzika, ili uniondolee mimi na nyumba ya baba yangu dhambi ya damu isiyokuwa na hatia ile Yoabu aliyoimwaga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akamwambia, Fanya alivyonena, umpige, ukamzike; ili uniondolee mimi na nyumba ya babangu damu aliyoimwaga Yoabu bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni akasema, “Fanya alivyosema; umuue na kumzika. Hivyo, mimi na wazawa wengine wote wa Daudi hatutalaumiwa kwa vitendo vya Yoabu vya kuwaua watu wasio na hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme akamwamuru Benaya, “Fanya kama asemavyo. Mwue na kumzika, ili uniondolee mimi na nyumba ya baba yangu dhambi ya damu isiyokuwa na hatia ile Yoabu aliyoimwaga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme akamwamuru Benaya, “Fanya kama asemavyo. Muue na kumzika, ili uniondolee mimi na nyumba ya baba yangu dhambi ya damu isiyokuwa na hatia ile Yoabu aliyoimwaga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akamwambia, Fanya alivyonena, umpige, ukamzike; ili uniondolee mimi na nyumba ya babangu damu aliyoimwaga Yoabu bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni akasema, “Fanya alivyosema; umuue na kumzika. Hivyo, mimi na wazawa wengine wote wa Daudi hatutalaumiwa kwa vitendo vya Yoabu vya kuwaua watu wasio na hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia: Fanya, kama alivyosema, umpige hapo, kisha mzike! Ndivyo, utakavyoziondoa kwangu na kwa mlango wa baba yangu manza za zile damu, Yoabu alizozimwaga bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akamwambia, Fanya alivyonena, umpige, ukamzike; ili uniondolee mimi na nyumba ya babangu damu aliyoimwaga Yoabu bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono akasema: “Fanya sawa alivyosema. Umwue na kumuzika. Hivyo, mimi na wazao wengine wote wa Daudi hatutabeba lazima ya vitendo vya Yoabu vya kuwaua watu wasiokuwa na kosa.