1 Kings 2:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Benaya mwana wa Yehoyada, akaenda hemani, akamuua Yoabu ambaye alizikwa shambani mwake, nyikani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Benaya mwana wa Yehoyada akakwea, akamgonga na kumuua Yoabu, naye akazikwa katika shamba lake mwenyewe jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Benaya, mwana wa Yehoyada, akapanda, akampiga, akamwua; naye akazikwa katika nyumba yake mwenyewe iliyoko nyikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Benaya mwana wa Yehoyada, akaenda hemani, akamuua Yoabu ambaye alizikwa shambani mwake, nyikani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Benaya mwana wa Yehoyada akakwea, akampiga na kumwua Yoabu, naye akazikwa katika nchi yake mwenyewe katika jangwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Benaya mwana wa Yehoyada akakwea, akampiga na kumuua Yoabu, naye akazikwa katika nchi yake mwenyewe katika jangwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Benaya, mwana wa Yehoyada, akapanda, akampiga, akamwua; naye akazikwa katika nyumba yake mwenyewe iliyoko nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Benaya mwana wa Yehoyada, akaenda hemani, akamuua Yoabu ambaye alizikwa shambani mwake, nyikani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Benaya, mwana wa Yoyada, alipopanda, akampiga na kumwua, kisha akazikwa nyumbani mwake nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Benaya, mwana wa Yehoyada, akapanda, akampiga, akamwua; naye akazikwa katika nyumba yake mwenyewe iliyoko nyikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Benaya mwana wa Yehoyada akaenda katika hema, akamwua Yoabu ambaye alizikwa katika shamba lake, katika mbuga.