1 Kings 2:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu mfalme akaagiza Shimei aitwe, akamwambia, “Jijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae hapa bila kwenda mahali pengine popote pale.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme akatuma ujumbe kwa Shimei na kumwambia, “Ujijengee nyumba huko Yerusalemu uishi huko, lakini usiende mahali pengine popote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, mfalme akatuma watu akamwita Shimei, akamwambia, Ujijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae ndani yake, wala usitoke humo kwenda mahali po pote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu mfalme akaagiza Shimei aitwe, akamwambia, “Jijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae hapa bila kwenda mahali pengine popote pale.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme akatuma ujumbe kwa Shimei na kumwambia, “Ujijengee nyumba huko Yerusalemu uishi huko, lakini usiende mahali pengine po pote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme akatuma ujumbe kwa Shimei na kumwambia, “Ujijengee nyumba huko Yerusalemu uishi huko, lakini usiende mahali pengine popote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, mfalme akatuma watu akamwita Shimei, akamwambia, Ujijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae ndani yake, wala usitoke humo kwenda mahali popote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu mfalme akaagiza Shimei aitwe, akamwambia, “Jijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae hapa bila kwenda mahali pengine popote pale.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme akatuma, akamwita Simei, akamwambia: Jijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae humo! Usitoke humo kwenda huko wala huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, mfalme akatuma watu akamwita Shimei, akamwambia, Ujijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae ndani yake, wala usitoke humo kwenda mahali po pote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mufalme akaagiza Simei aitwe, akamwambia: “Ujijengee nyumba humu Yerusalema, ukae hapa bila kwenda pahali pengine popote.