1 Kings 2:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana siku utakapotoka na kuvuka kijito Kidroni, nakuambia kweli utakufa, na kujilaumu wewe mwenyewe kwa kifo chako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku utakayoondoka kuvuka Bonde la Kidroni, uwe na hakika utakufa; damu yako itakuwa juu ya kichwa chako mwenyewe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa siku ile ya kutoka kwako, na kuvuka kijito Kidroni, ujue hakika ya kwamba kufa utakufa; damu yako itakuwa juu ya kichwa chako mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana siku utakapotoka na kuvuka kijito Kidroni, nakuambia kweli utakufa, na kujilaumu wewe mwenyewe kwa kifo chako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku utakayoondoka kuvuka Bonde la Kidroni, uwe na hakika utakufa; damu yako itakuwa juu ya kichwa chako mwenyewe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku utakayoondoka kuvuka Bonde la Kidroni, uwe na hakika utakufa; damu yako itakuwa juu ya kichwa chako mwenyewe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa siku ile ya kutoka kwako, na kuvuka kijito Kidroni, ujue hakika ya kwamba kufa utakufa; damu yako itakuwa juu ya kichwa chako mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana siku utakapotoka na kuvuka kijito Kidroni, nakuambia kweli utakufa, na kujilaumu wewe mwenyewe kwa kifo chako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa hivi: siku, utakapotoka na kukivuka kijito cha Kidoroni, ujue kabisa, ya kuwa utakufa papo hapo, damu yako iwe kichwani pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa siku ile ya kutoka kwako, na kuvuka kijito Kidroni, ujue hakika ya kwamba kufa utakufa; damu yako itakuwa juu ya kichwa chako mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana siku utakapotoka na kuvuka kijito Kidroni, ninakuambia kweli utakufa na kubeba lazima ya kifo chako wewe mwenyewe.”