1 Kings 2:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shimei alipanda punda wake, akaenda huko kuwatafuta, kwa mfalme Akishi. Basi, akafika, akawapata, akawarudisha nyumbani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya hili, Shimei akatandika punda wake, akaenda kwa Akishi huko Gathi kuwatafuta watumwa wake. Basi Shimei akaondoka na kuwarudisha watumwa wake kutoka Gathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shimei akaondoka, akatandika punda wake, akaenda Gathi kwa Akishi, ili kuwatafuta watumwa wake. Akaenda Shimei, akawaleta watumwa wake toka Gathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shimei alipanda punda wake, akaenda huko kuwatafuta, kwa mfalme Akishi. Basi, akafika, akawapata, akawarudisha nyumbani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya hili, Shimei akatandika punda wake, akaenda kwa Akishi huko Gathi kuwatafuta watumwa wake. Basi Shimei akaondoka na kuwarudisha watumwa wake kutoka Gathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya hili, Shimei akatandika punda wake, akaenda kwa Akishi huko Gathi kuwatafuta watumwa wake. Basi Shimei akaondoka na kuwarudisha watumwa wake kutoka Gathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shimei akaondoka, akatandika punda wake, akaenda Gathi kwa Akishi, ili kuwatafuta watumwa wake. Akaenda Shimei, akawaleta watumwa wake toka Gathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shimei alipanda punda wake, akaenda huko kuwatafuta, kwa mfalme Akishi. Basi, akafika, akawapata, akawarudisha nyumbani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Simei alipomtandika punda wake, akaenda Gati kwa Akisi kuwatafuta watumwa wake; kisha Simei akaenda zake, akawaleta watumwa wake toka Gati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shimei akaondoka, akatandika punda wake, akaenda Gathi kwa Akishi, ili kuwatafuta watumwa wake. Akaenda Shimei, akawaleta watumwa wake toka Gathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simei alipanda juu ya punda wake, akaenda kule kwa kuwatafuta, kwa mufalme Akisi. Basi, akafika, akawapata, akawarudisha kwake.