1 Kings 2:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona basi, umevunja kiapo chako kwa Mwenyezi-Mungu na kutojali amri niliyokupa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa Mwenyezi Mungu na kutii amri niliyokupa?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona basi hukukishika kiapo cha Bwana, na amri niliyokuagiza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona basi, umevunja kiapo chako kwa Mwenyezi-Mungu na kutojali amri niliyokupa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa BWANA na kutii amri niliyokupa?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa bwana na kutii amri niliyokupa?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona basi hukukishika kiapo chako kwa BWANA, na amri niliyokuagiza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona basi, umevunja kiapo chako kwa Mwenyezi-Mungu na kutojali amri niliyokupa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona hukukishika kiapo cha Bwana, wala agizo, nililokuagiza?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona basi hukukishika kiapo cha BWANA, na amri niliyokuagiza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona basi, umevunja kiapo chako kwa Yawe na kutojali amri niliyokupa?”