1 Kings 2:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme aliendelea kumwambia Shimei, “Unayajua wazi maovu uliyomtendea baba yangu Daudi, na sasa, kwa sababu ya hayo, Mwenyezi-Mungu atakuadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia mfalme akamwambia Shimei, “Unajua moyoni mwako makosa yote uliyomtendea baba yangu Daudi. Sasa Mwenyezi Mungu atakulipiza kwa ajili ya mabaya yako uliyotenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo Bwana atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme aliendelea kumwambia Shimei, “Unayajua wazi maovu uliyomtendea baba yangu Daudi, na sasa, kwa sababu ya hayo, Mwenyezi-Mungu atakuadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia mfalme akamwambia Shimei, “Unajua katika moyo wako makosa uliyomtendea baba yangu Daudi. Sasa BWANA atakulipiza kwa ajili ya mabaya yako uliyotenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia mfalme akamwambia Shimei, “Unajua katika moyo wako makosa uliyomtendea baba yangu Daudi. Sasa bwana atakulipiza kwa ajili ya mabaya yako uliyotenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo BWANA atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme aliendelea kumwambia Shimei, “Unayajua wazi maovu uliyomtendea baba yangu Daudi, na sasa, kwa sababu ya hayo, Mwenyezi-Mungu atakuadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia Simei: Mwenyewe unayajua mabaya yote, moyo wako uliyoyawaza, uliyomtendea baba yangu Dawidi; sasa Bwana atayarudisha hayo mabaya yako kichwani pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo BWANA atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme aliendelea kumwambia Simei: “Unayajua wazi maovu uliyomutendea baba yangu Daudi. Sasa, kwa sababu ya hayo, Yawe atakuazibu.