1 Kings 2:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi atanibariki, na kiti cha enzi cha Daudi kitaimarishwa mbele ya Mwenyezi-Mungu milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mfalme Sulemani atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitaimarishwa mbele za Mwenyezi Mungu milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila mfalme Sulemani atakuwa amebarikiwa, na kiti cha enzi cha Daudi kitathibitika mbele za Bwana hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi atanibariki, na kiti cha enzi cha Daudi kitaimarishwa mbele ya Mwenyezi-Mungu milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mfalme Solomoni atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitakuwa imara mbele za BWANA milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mfalme Sulemani atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitakuwa imara mbele za bwana milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila mfalme Sulemani atakuwa amebarikiwa, na kiti cha enzi cha Daudi kitathibitika mbele za BWANA hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi atanibariki, na kiti cha enzi cha Daudi kitaimarishwa mbele ya Mwenyezi-Mungu milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mfalme Salomo atakuwa amebarikiwa, nacho kiti cha kifalme cha Dawidi kitakuwa chenye nguvu mbele ya Bwana kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila mfalme Sulemani atakuwa amebarikiwa, na kiti cha enzi cha Daudi kitathibitika mbele za BWANA hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi atanibariki, na kiti cha kifalme cha Daudi kitaimarishwa mbele ya Yawe milele.”