1 Kings 2:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wewe fanya kadiri ya hekima yako, ila tu usimwache afe kwa amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtendee kwa kadiri ya hekima yako, lakini usiache kichwa chake chenye mvi kishukie kaburi kwa amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo ufanye kama ilivyo hekima yako, wala usimwachie mvi zake kushukia Ahera kwa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wewe fanya kadiri ya hekima yako, ila tu usimwache afe kwa amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shughulika naye kwa kadiri ya hekima yako, lakini usiache kichwa chake chenye mvi kishukie kaburi kwa amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shughulika naye kwa kadiri ya hekima yako, lakini usiache kichwa chake chenye mvi kishukie kaburi kwa amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo ufanye kama ilivyo hekima yako, wala usimwachie mvi zake kushukia Ahera kwa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wewe fanya kadiri ya hekima yako, ila tu usimwache afe kwa amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umfanyizie kwa werevu wako ulio wa kweli usipoacha, mvi zake zishuke kuzimuni na kutengemana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo ufanye kama ilivyo hekima yako, wala usimwachie mvi zake kushukia Ahera kwa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wewe fanya kadiri ya hekima yako, lakini tu usimwache akufe kwa amani.