1 Kings 20:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale vijana waliotumikia jeshi chini ya wakuu wa wilaya, wakatangulia. Wakati huo, Ben-hadadi alikuwa amekwisha peleka askari wa doria, nao wakampa habari kwamba kulikuwa na kundi la watu waliokuja kutoka Samaria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafisa vijana majemadari wa majimbo waliondoka kwanza. Wakati huu Ben-Hadadi alikuwa amewatuma wapelelezi, ambao walileta taarifa kusema kwamba, “Askari wanasonga mbele kutoka Samaria.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakatoka wale vijana wa maliwali wa majimbo wakitangulia; na Ben-hadadi akatuma watu, nao wakamwambia, Wako watu wametoka katika Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale vijana waliotumikia jeshi chini ya wakuu wa wilaya, wakatangulia. Wakati huo, Ben-hadadi alikuwa amekwisha peleka askari wa doria, nao wakampa habari kwamba kulikuwa na kundi la watu waliokuja kutoka Samaria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafisa vijana majemadari wa majimbo waliondoka kwanza. Wakati huu Ben-Hadadi alikuwa amewatuma wapelelezi, ambao walileta taarifa kusema kwamba, “Askari wanasonga mbele kutoka Samaria.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafisa vijana majemadari wa majimbo waliondoka kwanza. Wakati huu Ben-Hadadi alikuwa amewatuma wapelelezi, ambao walileta taarifa kusema kwamba, “Askari wanasonga mbele kutoka Samaria.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakatoka wale vijana wa watawala wa majimbo wakitangulia; na Ben-hadadi akatuma watu, nao wakamwambia, Wako watu wametoka katika Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale vijana waliotumikia jeshi chini ya wakuu wa wilaya, wakatangulia. Wakati huo, Ben-hadadi alikuwa amekwisha peleka askari wa doria, nao wakampa habari kwamba kulikuwa na kundi la watu waliokuja kutoka Samaria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale vijana wa wakuu wa majimbo walipoanza kutoka, wote, Benihadadi aliowatuma, wakampasha habari kwamba: Watu wanatoka Samaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakatoka wale vijana wa maliwali wa majimbo wakitangulia; na Ben-hadadi akatuma watu, nao wakamwambia, Wako watu wametoka katika Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale vijana waliotumikia jeshi chini ya maliwali wa majimbo, wakatangulia. Wakati ule, Beni-Hadadi alikuwa amekwisha kupeleka waaskari wapelelezi, nao wakamupa habari kwamba kulikuwa kundi la watu waliokuja kutoka Samaria.