1 Kings 20:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wale vijana waliotumikia jeshi chini ya wakuu wa wilaya, wakaongoza mashambulizi, huku, nyuma yao, wanafuata wanajeshi wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale maafisa vijana majemadari wa majimbo wakatoka nje ya mji jeshi likiwa nyuma yao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakatoka mjini hao vijana wa maliwali wa majimbo, na jeshi nyuma yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wale vijana waliotumikia jeshi chini ya wakuu wa wilaya, wakaongoza mashambulizi, huku, nyuma yao, wanafuata wanajeshi wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale maafisa vijana majemadari wa majimbo wakatoka nje ya mji jeshi likiwa nyuma yao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale maafisa vijana majemadari wa majimbo wakatoka nje ya mji jeshi likiwa nyuma yao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakatoka mjini hao vijana wa watawala wa majimbo, na jeshi nyuma yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wale vijana waliotumikia jeshi chini ya wakuu wa wilaya, wakaongoza mashambulizi, huku, nyuma yao, wanafuata wanajeshi wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hao vijana wa wakuu wa majimbo walipokwisha kutoka mjini pamoja na vikosi vilivyowafuata,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakatoka mjini hao vijana wa maliwali wa majimbo, na jeshi nyuma yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wale vijana waliotumikia jeshi chini ya maliwali wa majimbo, wakaongoza mashambulizi, na huku nyuma yao, waaskari wa Israeli waliwafuata.