1 Kings 20:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, yule nabii akamwendea mfalme wa Israeli, akamwambia, “Jiandae upya ufikirie vizuri la kufanya. Mwakani, mfalme wa Aramu atakuja kupambana nawe tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye nabii akaja kwa mfalme wa Israeli na kusema, “Jiandae vizuri ufikirie la kufanya, kwa sababu mwakani mfalme wa Aramu atakuja tena kukushambulia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye yule nabii akamjia mfalme wa Israeli, akamwambia, Enenda, kusanya nguvu zako, ujue, na kuangalia ufanyavyo; kwa maana mwakani mfalme wa Shamu atakuja juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, yule nabii akamwendea mfalme wa Israeli, akamwambia, “Jiandae upya ufikirie vizuri la kufanya. Mwakani, mfalme wa Aramu atakuja kupambana nawe tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye nabii akaja kwa mfalme wa Israeli na kusema, “Jiandae vizuri ufikirie la kufanya, kwa sababu mwakani mfalme wa Aramu atakuja kukushambulia tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye nabii akaja kwa mfalme wa Israeli na kusema, “Jiandae vizuri ufikirie la kufanya, kwa sababu mwakani mfalme wa Aramu atakuja kukushambulia tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye yule nabii akamjia mfalme wa Israeli, akamwambia, Nenda, kusanya nguvu zako, ujue, na kuangalia ufanyavyo; kwa maana mwakani mfalme wa Shamu atakuja juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, yule nabii akamwendea mfalme wa Israeli, akamwambia, “Jiandae upya ufikirie vizuri la kufanya. Mwakani, mfalme wa Aramu atakuja kupambana nawe tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yule mfumbuaji akamtokea mfalme wa Waisiraeli, akamwambia: Nenda, ujipatie nguvu! Kwa hayo, uliyoyaona, ujue ya kufanya! Kwani mwaka utakapopita, mfalme wa Ushami atapanda tena, akujie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye yule nabii akamjia mfalme wa Israeli, akamwambia, Enenda, kusanya nguvu zako, ujue, na kuangalia ufanyavyo; kwa maana mwakani mfalme wa Shamu atakuja juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, yule nabii akamwendea mufalme wa Israeli, akamwambia: “Uongeze nguvu yako, ufikiri vizuri la kufanya. Mwaka kesho, mufalme wa Aramu atakuja kukushambulia tena.”