1 Kings 20:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watumishi wa mfalme Ben-hadadi walimshauri hivi: “Miungu ya Waisraeli ni miungu ya milimani; ndiyo maana tulishindwa. Lakini, bila shaka tutawashinda kama tukipigana nao mahali tambarare.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo, maafisa wa mfalme wa Aramu wakamshauri, wakamwambia, “Miungu yao ni miungu ya vilimani. Ndiyo sababu walikuwa na nguvu sana kutuzidi. Lakini tukipigana nao katika nchi tambarare, hakika tutawashinda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo sababu ya kutushinda sisi; lakini na tupigane nao katika nchi tambarare, na hakika tutawashinda wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watumishi wa mfalme Ben-hadadi walimshauri hivi: “Miungu ya Waisraeli ni miungu ya milimani; ndiyo maana tulishindwa. Lakini, bila shaka tutawashinda kama tukipigana nao mahali tambarare.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule ule, maafisa wa mfalme wa Aramu wakamshauri, wakamwambia, “Miungu yao ni miungu ya vilimani. Ndiyo sababu walikuwa na nguvu sana kutuzidi. Lakini kama tukipigana nao katika nchi tambarare, hakika tutawashinda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule ule, maafisa wa mfalme wa Aramu wakamshauri, wakamwambia, “Miungu yao ni miungu ya vilimani. Ndiyo sababu walikuwa na nguvu sana kutuzidi. Lakini kama tukipigana nao katika nchi tambarare, hakika tutawashinda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo sababu ya kutushinda sisi; lakini na tupigane nao katika nchi tambarare, na hakika tutawashinda wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watumishi wa mfalme Ben-hadadi walimshauri hivi: “Miungu ya Waisraeli ni miungu ya milimani; ndiyo maana tulishindwa. Lakini, bila shaka tutawashinda kama tukipigana nao mahali tambarare.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumishi wa mfalme wa Ushami wakamwambia: Mungu wa milima ni Mungu wao, kwa sababu hii wametushinda. Lakini tungepigana nao katika nchi ya tambarare, tungewashinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo sababu ya kutushinda sisi; lakini na tupigane nao katika nchi tambarare, na hakika tutawashinda wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watumishi wa mufalme Beni-Hadadi walimushauria hivi: “Miungu ya Waisraeli ni miungu ya juu ya milima; ndiyo maana tulishindwa. Lakini, bila shaka tutawashinda kama tukipigana nao katika bonde.