1 Kings 20:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, wastaafishe wale wafalme thelathini na wawili na mahali pao uweke majemadari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanya hivi: Waondoe hao wafalme wote kutoka nafasi zao na uweke maafisa wengine mahali pao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ufanye neno hili; uwaondoe hao wafalme, kila mtu atoke mahali pake, ukaweke majemadari mahali pao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, wastaafishe wale wafalme thelathini na wawili na mahali pao uweke majemadari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanya hivi: Waondoe hao wafalme wote thelathini na wawili kutoka nafasi zao na uweke maafisa wengine mahali pao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanya hivi: Waondoe hao wafalme wote thelathini na wawili kutoka nafasi zao na uweke maafisa wengine mahali pao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ufanye neno hili; uwaondoe hao wafalme, kila mtu atoke mahali pake, ukaweke majemadari mahali pao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, wastaafishe wale wafalme thelathini na wawili na mahali pao uweke majemadari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fanya hivi tu: waondoe wafalme kila mmoja mahali pake, uweke watawala nchi mahali pao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ufanye neno hili; uwaondoe hao wafalme, kila mtu atoke mahali pake, ukaweke majemadari mahali pao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, ufanye hivi: Uwaondoe wale wafalme makumi tatu na wawili katika madaraka yao na kwa pahali pao uweke majemadari.