1 Kings 20:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara baada ya majira ya baridi, mfalme Ben-hadadi aliwakusanya watu wake, akaenda mjini Afeka kupigana na watu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwaka uliofuata, majira kama hayo, Ben-Hadadi akawakusanya Waaramu, akaenda Afeki kupigana dhidi ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa mwakani, Ben-hadadi akawahesabu Washami, akakwea mpaka Afeki ili apigane na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara baada ya majira ya baridi, mfalme Ben-hadadi aliwakusanya watu wake, akaenda mjini Afeka kupigana na watu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwaka uliofuata, majira kama hayo, Ben-Hadadi akawakusanya Waaramu mpaka Afeki kupigana dhidi ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwaka uliofuata, majira kama hayo, Ben-Hadadi akawakusanya Waaramu mpaka Afeki kupigana dhidi ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa mwakani, Ben-hadadi akawahesabu Washami, akakwea mpaka Afeki ili apigane na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara baada ya majira ya baridi, mfalme Ben-hadadi aliwakusanya watu wake, akaenda mjini Afeka kupigana na watu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwaka ulipopita, Benihadadi akawakagua Washami, akawapeleka Afeki kupigana na Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa mwakani, Ben-hadadi akawahesabu Washami, akakwea mpaka Afeki ili apigane na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu kwa mwaka uliofuata, mufalme Beni-Hadadi akawakusanya watu wake, akaenda katika muji wa Afeki kwa kupigana na watu wa Israeli.