1 Kings 20:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Fedha na dhahabu yako yote ni mali yangu; wake zako warembo na watoto wako pia ni wangu.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Fedha yako na dhahabu yako ni vyangu; nao wake zako walio wazuri sana na watoto ni wangu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fedha yako na dhahabu yako ni zangu mimi; na wakezo na wanao, walio wema, ni wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Fedha na dhahabu yako yote ni mali yangu; wake zako warembo na watoto wako pia ni wangu.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Fedha yako na dhahabu ni yangu, nao wake zako walio wazuri sana na watoto ni wangu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Fedha yako na dhahabu ni yangu, nao wake zako walio wazuri sana na watoto ni wangu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fedha yako na dhahabu yako ni zangu mimi; na wakezo na wanao, walio wema, ni wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Fedha na dhahabu yako yote ni mali yangu; wake zako warembo na watoto wako pia ni wangu.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwambia: Ndivyo, Benihadadi anavyosema: Fedha zako na dhahabu zako ni zangu, na wake zako na watoto wako walio wazuri ni wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fedha yako na dhahabu yako ni zangu mimi; na wakezo na wanao, walio wema, ni wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Feza na zahabu yako yote ni mali yangu; wake zako wazuri na watoto wako ni wangu vilevile.’ ”