1 Kings 20:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa amri ya Mwenyezi-Mungu, mmojawapo wa wanafunzi wa manabii, akamwambia mwenzake, “Nipige, tafadhali.” Lakini mwenzake akakataa kumpiga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa neno la Mwenyezi Mungu, mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake, “Nipige kwa silaha yako,” lakini yule mtu akakataa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mtu mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake kwa neno la Bwana, Nipige, nakusihi. Akakataa yule kumpiga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa amri ya Mwenyezi-Mungu, mmojawapo wa wanafunzi wa manabii, akamwambia mwenzake, “Nipige, tafadhali.” Lakini mwenzake akakataa kumpiga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa neno la BWANA, mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake, “Nipige kwa silaha yako,” lakini yule mtu akakataa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa neno la bwana, mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake, “Nipige kwa silaha yako,” lakini yule mtu akakataa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mtu mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake kwa neno la BWANA, Nipige, nakusihi. Akakataa yule kumpiga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa amri ya Mwenyezi-Mungu, mmojawapo wa wanafunzi wa manabii, akamwambia mwenzake, “Nipige, tafadhali.” Lakini mwenzake akakataa kumpiga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mmoja wao wanafunzi wa wafumbuaji akamwambia mwenziwe kwa kuagizwa na Bwana: Unipige! Yule mwenziwe akakataa kumpiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mtu mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake kwa neno la BWANA, Nipige, nakusihi. Akakataa yule kumpiga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa amri ya Yawe, mumoja wa wanafunzi wa manabii akamwambia mwenzake: “Unipige, tafazali.” Lakini mwenzake akakataa kumupiga.