1 Kings 20:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akamwambia, “Kwa kuwa umekataa kutii amri ya Mwenyezi-Mungu, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo yule nabii akasema, “Kwa sababu hukumtii Mwenyezi Mungu, mara tu tutakapoachana utauawa na simba.” Na baada ya yule mtu kuondoka, simba akatokea na kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Kwa sababu hukuisikiliza sauti ya Bwana, angalia, mara ukitoka kwangu simba atakuua. Na mara alipotoka kwake, simba alimwona, akamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akamwambia, “Kwa kuwa umekataa kutii amri ya Mwenyezi-Mungu, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo yule nabii akasema, “Kwa sababu hukumtii BWANA, mara tu tutakapoachana utauawa na simba.” Na baada ya yule mtu kuondoka, simba akatokea na kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo yule nabii akasema, “Kwa sababu hukumtii bwana, mara tu tutakapoachana utauawa na simba.” Na baada ya yule mtu kuondoka, simba akatokea na kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Kwa sababu hukuisikiliza sauti ya BWANA, angalia, mara ukitoka kwangu simba atakuua. Na mara alipotoka kwake, simba alimwona, akamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akamwambia, “Kwa kuwa umekataa kutii amri ya Mwenyezi-Mungu, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Kwa kuwa hukuiitikia sauti ya Bwana, ukitoka kwangu, utaona simba, naye atakuua! Basi alipotoka kwake, simba akamwona, akamwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Kwa sababu hukuisikiliza sauti ya BWANA, angalia, mara ukitoka kwangu simba atakuua. Na mara alipotoka kwake, simba alimwona, akamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akamwambia: “Kwa sababu umekataa kutii amri ya Yawe, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamwua.