1 Kings 20:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nabii akaondoka, akaenda akakaa kando ya njia, kumngojea mfalme wa Israeli, huku amejifunga kitambaa usoni, asitambulike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nabii akaenda na kusimama barabarani akimsubiri mfalme. Akajibadilisha kwa kushusha kitambaa cha kichwani mwake hadi kwenye macho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule nabii akaenda akamngoja mfalme njiani, amejibadilisha kwa kilemba juu ya macho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nabii akaondoka, akaenda akakaa kando ya njia, kumngojea mfalme wa Israeli, huku amejifunga kitambaa usoni, asitambulike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nabii akaenda na kusimama barabarani akimsubiri mfalme. Akajibadilisha kwa kushusha kitambaa cha kichwani mwake hadi kwenye macho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nabii akaenda na kusimama barabarani akimsubiri mfalme. Akajibadilisha kwa kushusha kitambaa cha kichwani mwake hadi kwenye macho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yule nabii akaenda akamngoja mfalme njiani, amejibadilisha kwa kilemba juu ya macho yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nabii akaondoka, akaenda akakaa kando ya njia, kumngojea mfalme wa Israeli, huku amejifunga kitambaa usoni, asitambulike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha huyu mfumbuaji akaja kusimama njiani, mfalme alipotaka kupitia, lakini alikuwa amejigeuza, asijulikane, kwa kufunga kitambaa machoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule nabii akaenda akamngoja mfalme njiani, amejibadilisha kwa kilemba juu ya macho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nabii akajifunga kitambaa kwenye uso kusudi asitambuliwe, akaenda, akakaa pembeni ya njia kwa kumungojea mufalme wa Israeli.