1 Kings 20:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye mfalme wa Israeli akajibu, “Bwana wangu mfalme, ulivyosema ni sawa: Mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo ni vyako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme wa Israeli akajibu, “Iwe kama usemavyo, bwana wangu mfalme. Mimi na vyote nilivyo navyo ni mali yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Israeli akajibu, akasema, Ni kama ulivyosema, bwana wangu, mfalme; mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye mfalme wa Israeli akajibu, “Bwana wangu mfalme, ulivyosema ni sawa: mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo ni vyako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme wa Israeli akajibu, “Iwe kama usemavyo, bwana wangu mfalme. Mimi na vyote nilivyo navyo ni mali yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme wa Israeli akajibu, “Iwe kama usemavyo, bwana wangu mfalme. Mimi na vyote nilivyo navyo ni mali yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme wa Israeli akajibu, akasema, Ni kama ulivyosema, bwana wangu, mfalme; mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye mfalme wa Israeli akajibu, “Bwana wangu mfalme, ulivyosema ni sawa: Mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo ni vyako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wa Waisiraeli akajibu kwamba: Na yawe, kama ulivyosema, bwana wangu mfalme! Mimi ni mtu wako, navyo vyote, nilivyo navyo, ni vyako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Israeli akajibu, akasema, Ni kama ulivyosema, bwana wangu, mfalme; mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye mufalme wa Israeli akajibu: “Bwana wangu mufalme, ulivyosema ni sawa: mimi ni wako, na vyote ninavyokuwa navyo ni vyako.”